7 Mei 2025 - 18:22
"Video | Hatuwezi kuangalia miili dhaifu ya Watoto wa Gaza na tukabaki kimya"

Shirika la Habari la Kimaitaifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Muhammad al-Bukheiti, Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen: "Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupatia neema ya kutekeleza jukumu letu mbele ya watu wa Gaza. Kukatwa katwa vipande miili yetu ni bora zaidi kwetu kuliko kuwa na mioyo migumu kama mawe."

Kauli hii ya Muhammad al-Bukheiti, Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya inaonyesha na kudhihirisha mshikamano na hisia za kiroho kutoka kwa Ansarullah ya Yemen kwa watu wa Gaza, na pia kuonyesha hali ya maumivu makubwa na hasira juu waliyokuwa nayo juu ya ile dhulma na mauaji ya halaiki yanayotokea katika eneo hilo la Ghaza na Palestina kwa ujumla.

Your Comment

You are replying to: .
captcha